Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Vuai Ali Vuai, wakiwa katika Sala na Dua ya kumuombea aliyekuwa Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Bibi Fatma Othman Ali kabla ya mazishi yake iliyofanyika leo katika msikiti wa Mohammed Ali kibanda hatari Zanzibar.
Shekh Mwalim Yussuf akisoma dua baada ya kumaliza Sala ya maiti katika msikiti wa kibanda hatari, kidongochekundu Zanzibar
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiweka Udongo kwenye Kaburi la aliyekuwa Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Bibi Fatma Othman Ali wakati wa mazishi yake yaliyofanyika leo Januari 08,2015 katika Makaburi ya Mwanakwerekwe Zanzibar. (Picha na OMR)
No comments:
Post a Comment