Waziri wa Miundombinu na Mawasiliano
Zanzibar, Mhe: Juma Duni Haji akiondoa kitambaa kuashiria kufungua kituo kipya
cha kununulia karafuu, kilichopo Kilindi wilaya ya Chake Chake Pemba,
kilichojengwa na ZSTC, ikiwa ni shamra shamra ya kutimia miaka 51 ya mapinduzi
Zanzibar,
WAZIRI wa
Miundombinu na Mawasiliano Zanzibar, Mhe: Juma Duni Haji, akizungumza na wananchi wa shehia ya Kilindi wilaya ya
Chake Chake Pemba, mara baada ya kukifungua kituo kipya cha kununulia karafuu,
kilichopo shehiani humo, ambacho kilijengwa na ZSTC, ikiwa ni shamra
BAADHI ya
wananchi wa shehia ya Kilindi wilaya ya Chake Chake Pemba, wakimsilikiza
Mkurugenzi mtendaji wa ZSTC Zanzibar, Mwahija Al-masi Ali akizungumza kwenye
ufunguzi wa kituo kipya cha kununulia karafuu kwenye shehia hiyo, ikiwa ni
shamra shamra ya kutimia miaka 51 ya mapinduzi Zanzibar,
KIKUNDI
cha burudani cha Mkota ngoma cha Mkoani Pemba, kikitumbuiza kwa ngoma ya kibati,
kwenye ufunguzi wa kituo kipya cha ununuzi wa karafuu shehia ya Kilindi wilaya
ya Chake Chake Pemba, ikiwa ni shamra shamra ya kutimia miaka 51 ya mapinduzi
ya Zanzibar,
No comments:
Post a Comment