MJUMBE wa ZMA Kapteni Msilimiwa Iddi Juma, akitowa
maelezo yake katika kikao cha Wajumbe wa ZMA na kamati ya ulinzi na usalama
wilaya ya Mkoani, kabla ya kufanya operesheni ya kuhakiki abiria katika meli
bandarini hapo.(Picha na Abdi Suleiman,
PEMBA.)
WAJUMBE wa bodi ya wakurugenzi wa mamlaka ya usafiri
baharini Zanzibar (ZMA), wakishirikiana na kamati ya ulinzi na usalama Wilaya
ya Mkoani, wakihakiki idadi ya abiri katika operesheni maalumu waliyofanya katika
bandari ya Mkoani kisiwani Pemba.(Picha
na Abdi Suleiman, PEMBA.)
No comments:
Post a Comment