Habari za Punde

Semina ya Usambazaji wa matokeo ya Sensa ya watu na makaazi ya mwaka 2012

 Kamisaa wa Sensa ya Watu na makaazi Mwalimu Haji Ameir akitoa maelezo mafupi ya makaribisho katika Semina ya Usambazaji wa matokeo ya Sensa ya watu na makaazi ya mwaka 2012 kwa wajumbe wa Baraza la Wawakilishi huko mbweni nje ya mji wa Zanzibar.
 Waziri wa Nchi Afisi ya Rais Ikulu na Utyawala Bora Dk,Mwinyihaji Makame akitoa maelezo kuhusu Sensa na Umuhimu wake katika Semina ya Usambazaji wa matokeo ya Sensa ya watu na makaazi ya mwaka 2012 kwa wajumbe wa Baraza la Wawakilishi huko mbweni nje ya mji wa Zanzibar.
 Waziri wa Habari Utamaduni Utalii na Michezo Said Ali Mbarouk  akitoa hotuba kuhusu Sensa na Umuhimu wake katika Semina ya Usambazaji wa matokeo ya Sensa ya watu na makaazi ya mwaka 2012 kwa wajumbe wa Baraza la Wawakilishi huko mbweni nje ya mji wa Zanzibar.
 Baadhi ya Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi waliohudhuria katika semina  ya Usambazaji wa matokeo ya Sensa ya watu na makaazi ya mwaka 2012 wakiangalia makala fupi ya Sensa ya Watu na makaazi huko mbweni nje ya mji wa Zanzibar
Mtakwimu mkuu wa serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Mohd Hafidh Rajab  akiwasilisha matokeo muhimu yanayotokana na Sensa ya Watu na Makaazi katika Semina ya Usambazaji wa matokeo ya Sensa ya watu na makaazi ya mwaka 2012 kwa wajumbe wa Baraza la Wawakilishi huko mbweni nje ya mji wa Zanzibar.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.