Habari za Punde

Rais Kikwete amkaribisha Rais wa Ujerumani Joachim Gauck,Ikulu jijini Dar Leo


Rais wa Jakaya Mrisho Kikwete akimkaribisha mgeni wake Ikulu Rais wa Ujerumani Mhe. Joachim Gauck ambaye ameongozana na mke wake Bibi schadt leo
Rais wa Jakaya Mrisho Kikwete akimtambusha Rais wa Ujerumani Mhe. Joachim Gauck kwa viongozi mbalimbali wa kitaifa waliojitokeza kumpekea leo tarehe.03.02.2015 katika viwanja vya Ikulu.
Rais wa Jakaya Mrisho Kikwete pamoja na mgeni wake Rais wa Ujerumani Mhe. Joachim Gauck wakipata mapokezi kwa kuimbwa kwa nyimbo za taifa za mataifa hayo mawili.
Rais wa Ujerumani Mhe. Joachim Gauck akikagua gwaride la heshima lililoandaliwa na kikosi cha jeshi la wananchi wa Tanzania kwa ajili yake leo katika viwanja vya Ikulu.
Rais wa Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na ujembe kutoka ujerumani uliondamana naRais wa Ujerumani Mhe. Joachim Gauck wakati Rais huyo alipowasili Ikulu. 
 Rais wa Ujerumani Mhe. Joachim Gauck, akisalimiana na Wanafunzi waliofika kumlaki katika viwanja vya Ikulu Dar wakati Rais huyo alipowasili Ikulu. akiwa na mwenyeji wake Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dk.Jakaya Mrisho Kikwete. 



 Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dk Jakaya Kikwete akiwa na Rais wa Ujerumani Mhe. Joachim Gauck wakati katika viwanja vya Ikulu Dar.kulia Mama Salma Kikwete na kushoto Mke wa Rais wa Ujerumani.  
Rais wa Ujerumani Mhe. Joachim Gauck akipokelewa na wanafanyakazi wa Ikulu,wananchi mbalimbali pamoja na wanafunzi wa shule mbalimbali za mkoawa wa Dar es salaam waliojitokeza viwanja vya Ikulu leo tarehe.03.02.2015 kumpokea.
Rais wa Jakaya Mrisho Kikwete akimkaribisha Rais wa Ujerumani Mhe. Joachim Gauck Ikulu na kufanyanaye mazungumzo.
Rais wa Jakaya Mrisho Kikwete akifanya mazungumzo na Rais wa Ujerumani Mhe. Joachim Gauck pamoja na ujumbe wake (PICHA NA FREDDY MARO).

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.