Mafundu wa Shirika la Mandari Zanzibar wakijenga sehemu ya ukuta wa kuzuiya maji ya bahara katika maeneo ya forodha baada ya kuharibi na mawimbi ya maji ya bahari na kuleta madhara hayo ikiwa ni athari za Tabia Nchi katika maeneo ya bahari, kutoka na upepo uliosababisha mawimbi makani na yenye nguvu.
Habari : Makamu wa Rais Dkt. Nchimbi Ashiriki Mkutano wa Dharura wa SADC
-
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Balozi Dkt. Emmanuel
Nchimbi akishiriki Mkutano wa Dharura wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Nchi
W...
3 hours ago

Miaka yote hio huo ukuta ulipoanza kumongonyoka mlikuwa mmelala usingizi mzito. Sasa mnasingizia tabia nchi, ukweli ni tabia ndio iliosababisha. Mumesikia kuna mgeni anakuja ndio mmeamua kufagia.
ReplyDeleteEwee Mola tusaidie sie na Viongozi wetu tuwe na huruma kama zamani kwa Zanzibar yetu tokea udogo wangu ukuta huu naouna ukimungunyuka miaka hadi miaka lakini baada ya miaka yote kutokuwapo zanzibar na kuona hali ilivyo hivyo inaniuma na inanisikitisha sana tena sana kwenye kizingiti hapatupiwi macho jee huko vyumbani mupo hali gani utoto wetu ilikuwa ni hapo tunatoka ya ngambu kuja kucheza leo nina miaka 52 najiuliza iwapi ile haiba ya zanzibar uwapi utu wetu ziwapi imani zetu nini tegemeo letu na vizazi vijavyo jee tunajitayarisha vipi huko twendako ni nani tunaemcheza shere tunajidanganya wazanzibar maisha yetu mara nyingi tunamalizikia tuliko anzia .
ReplyDeleteTatizo letu uzalendo umetoweka nyooni mwetu na sasa tumeweka mbele maslah mbele. Jamii imeshapoyoshwa kifikra iliyobaki sasa ni moja tu ''one chance one goal''
DeleteI wish watu wote hasa wale waliopo ngazi za juu wangekuwa na mawazo kama yako.
Tusisahau kipindi kifupi nyuma,tuliposhuhudia jengo muhimu,maarufu na la historia lilipoporomoka upande mmoja.Hili ni jengo la Beit Al Ajaib.maeneo mengi ya histotia yamepuuzwa mpaka karibu kutoweka.Hasara kubwa kwa wanaojua faida ambayo ingepatikana kwa kuyahifadhi.Tujifunze kuhifadhi na sio kubomoa.
ReplyDelete