Habari za Punde

Mahafali ya Tatu ya Travelport Galileo Professional Course

Mwalimu Ali Mussa, akitowa maelezo ya Mafunzo ya Galileo Professional Course ya ukataji wa tiketi kwa njia ya Eletronic. yanayotolewa na Chuo cha Travelport kwa kushirikiana na Kampuni ya Watembeza Watalii Zanzibar ya Zenith Tour. Mahafali hayo yamefanyika katika Chuo hicho jengo la Zanlik Majestic. 
Viongozi wa Kampuni ya Zenith na Tavelport wakifuatilia ya Mwalimu wa Chuo hicho akizungumzia elimu waliopata Wanafunzi wa Kozi ya Utumiaji wa Eletronic ya huduma ya ukataji wa tiketi kwa njia ya hiyo.
Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Zenith Tour Ndg Salim, akizungumza wakati wa mahafali hayo ya Vijana 18 waliohitimu mafunzo ya huduma ya kieletronic ya huduma ya ukataji wa tiketi za ndege yanayotolewa na Travelport kwa kushirikiana na kampuni ya Zenith Tour ya Zanzibar.
Meneja Masoko wa Kampuni ya Travelport Tanzania Bi Margret Lislie, akizungumza wakati wa hafla ya Mahafali ya tatu ya Chuo cha Travelport yaliofanyika katika ukumbi wa chuo hicho kilioko katika jengo la Zanlik majestic Zanzibar.
Wahitimu wakimsikiliza Mkurugenzi wa Zenith Tour akitowa nasaha zake kwa wahitimu hao.wakati wa hafla ya mahafali ya tatu ya chuo hicho.

Wahitimu wakimsikiliza Mkurugenzi wa Zenith Tour akitowa nasaha zake kwa wahitimu hao.wakati wa hafla ya mahafali ya tatu ya chuo hicho.
Wahitimu wakimsikiliza Mkurugenzi wa Zenith Tour akitowa nasaha zake kwa wahitimu hao.wakati wa hafla ya mahafali ya tatu ya chuo hicho.
Mdau wa Usafiri wa Ndege Zanzibar Ndg. Mahammed Mansoor, akizungumza katika hafla hiyo ya mahafali ya Tatu ya Travelport yaliofanyika katika Chuo cha Travel port jengo la Zanlik majestic Zanzibar.
Wakufunzi wa Chuo cha Tavelport wakifuatilia hafla hiyo ya mahafali ya chuo hicho ya mafunzo ya Galileo Professional Course, yanayotolewa na chuo hicho 
Meneja Masoko wa Travelport Tanzania Bi Margret Leslie, kulia akimkabidhi cheti mhitimu wa mafunzo ya Galileo Professional Course,  baada ya kufaulu mafunzo hayo yanayotolewa na Kampuni ya Travelport Tanzania, anayeshuhudia Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Zenith Tour Zanzibar.
Meneja Masoko wa Travelport Tanzania Bi Margret Leslie, kulia akimkabidhi cheti mhitimu ya mafunzo ya Galileo Professional Course, Bi Radhia Khalifa, baada ya kufaulu mafunzo hayo yanayotolewa na Kampuni ya Travelport Tanzania, anayeshuhudia Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Zenith Tour Zanzibar.
Meneja Masoko wa Travelport Tanzania Bi Margret Leslie, kulia akimkabidhi cheti mhitimu ya mafunzo ya Galileo Professional Course, Bi Habiba Khamis baada ya kufaulu mafunzo hayo yanayotolewa na Kampuni ya Travelport Tanzania, anayeshuhudia Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Zenith Tour Zanzibar.
Meneja Masoko wa Travelport Tanzania Bi Margret Leslie, kulia akimkabidhi cheti mhitimu ya mafunzo ya Galileo Professional Course, Bi.Sara Hassan,baada ya kufaulu mafunzo hayo yanayotolewa na Kampuni ya Travelport Tanzania, anayeshuhudia Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Zenith Tour Zanzibar.
Meneja Masoko wa Travelport Tanzania Bi Margret Leslie, kulia akimkabidhi cheti mhitimu ya mafunzo ya Galileo Professional Course,Ndg.Mohammed Salum, baada ya kufaulu mafunzo hayo yanayotolewa na Kampuni ya Travelport Tanzania, anayeshuhudia Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Zenith Tour Zanzibar.
Meneja Masoko wa Travelport Tanzania Bi Margret Leslie, kulia akimkabidhi cheti mhitimu ya mafunzo ya Galileo Professional Course, Bi Hajira Khamis,baada ya kufaulu mafunzo hayo yanayotolewa na Kampuni ya Travelport Tanzania, anayeshuhudia Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Zenith Tour Zanzibar.
Meneja Masoko wa Travelport Tanzania Bi Margret Leslie, kulia akimkabidhi cheti mhitimu ya mafunzo ya Galileo Professional Course, Bi Liliani Mungi. baada ya kufaulu mafunzo hayo yanayotolewa na Kampuni ya Travelport Tanzania, anayeshuhudia Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Zenith Tour Zanzibar.
Meneja Masoko wa Travelport Tanzania Bi Margret Leslie, kulia akimkabidhi cheti mhitimu ya mafunzo ya Galileo Professional Course, Bi Khaira Issa,baada ya kufaulu mafunzo hayo yanayotolewa na Kampuni ya Travelport Tanzania, anayeshuhudia Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Zenith Tour Zanzibar.
Meneja Masoko wa Travelport Tanzania Bi Margret Leslie, kulia akimkabidhi cheti mhitimu ya mafunzo ya Galileo Professional Course, Bi Awatif Mohammed,baada ya kufaulu mafunzo hayo yanayotolewa na Kampuni ya Travelport Tanzania, anayeshuhudia Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Zenith Tour Zanzibar.
Wahitimu wa mafunzo ya kielotronic ya huduma ya ukataji wa tiketi za ndege kupitia mitandao wakifurahia baada ya kukabidhiwa vyeti vya na Meneja Masoko wa Kampuni ya Travelport Bi Margret Lislie.
Meneja Masoko wa Travelport Tanzania Bi Margret Leslie, kulia akimkabidhi cheti mhitimu ya mafunzo ya Galileo Professional Course, Ndg Abdulazizi Rajab,baada ya kufaulu mafunzo hayo yanayotolewa na Kampuni ya Travelport Tanzania, anayeshuhudia Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Zenith Tour Zanzibar.
Viongozi wa Travelport na Zenith Tour wakiwa katika picha ya pamoja na wahitimu ya mafunzo ya Galileo Professional Course.hafla hiyo imefanyika katika chuo hicho jengo la zanlink majestic.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.