Habari za Punde

Innaa Lillaahi wainnaa ilayhi raaji'uun Breaking News......Habari ilitufikia sasa hivi Mhe Salmini Awadh Amefariki dunia mchana huu

Habari iliotufikia muda huu Mnadhimiu wa CCM Baraza la Wawakilishi Zanzibar na Mwakilishi wa Jimbo la Magomeni Zanzibar Mhe Salmin Awadh, Salmin amefariki dunia hafla muda huu baada ya kuanguka akiwa katika kazi za Chama Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Zanzibar.
Akiwa katika mkutano ofisini alianguka na kukimbizwa hospitali ya mnazi mmoja kwa matibabu.
Mwili wa marehemu uko katika hospitali ya Mnazi mmoja kwa uchunguzi zaidi

Innaa Lillaahi wainnaa ilayhi raajiu'uun

1 comment:

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.