Mkurugenzi Masoko Zantel Ndg Mohammed Mussa Baucha, akizungumza na kumpongeza mshindi wa draw ya sita ya Zantel kwa wananchi wa Zanzibar kuweka fedha katika simu zao vyocha ya shilingi Elfu moja na kwa mimia kwa kiasi hicho na kujishindia Friji, Simu ya Samsung, na muda wa maongezi wa shilingi elfu kumi.kushoto mshindi wa draw hiyi Ndg Ikirima Mattar.
Mshindi wa draw ya sita ya Zanztel Ndg Ikirima Mattar akitowa shukrani zake kwa Mkurugenzi masoko wa Zantel kwa zawadi zao kwa kuwahamasisha wateja wa Zantel kutumia mtandao huo zaidi kwa promesheni hiyo, akifurahia friji alililoshinda na kutowa wito kuzidi kutumia mtandao wa Zantel 
Mkurugenzi Masoko wa Zantel Ndg Mohammed Mussa Baucha akimkabidhi msindi wa draw ya sita ya Zantel Ndg Ikirima Mattar zawadi yake ya friji baada ya mkuibuka mshindi wa wiki ya sita ya promosheni hiyo kwa wateja wa Zanztel wa Zanzibar makabidhiano hayo yamefanyika katika Afisi za Zantel jengo la Muzammil mlandege Zanzibar.

No comments:
Post a Comment