Habari za Punde

Kilimo cha Mwani Kimewakomboa Wanawake Zanzibar

Wananchi wa Kijiji cha Kibigija Jambiani  wanaojishughulisha nas kilimo mcha wani wakiwa katika  eneo lao la kilimo hicho katika bahari ya jambiani wakipasnda mwani kama walivyokutwa na mpiga picha wetu wakawa katika harakati hiyo na kulalamikia bei ya mwani ikiwa haikidhi kilo moja huuza kwa shilingi 400/=

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.