Habari za Punde

RAIS AKUTANA NA WIZARA YA HABARI,UTALII,UTAMADUNI NA MICHEZO

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akiongoza kikao siku moja cha Wizara ya Habari,Utamaduni,Utalii na Michezo  kilichozungumzia utekelezaji mpango kazi wa Wizara ya hiyo kwa kipindi cha mwezi Julai-Disemba 2014 katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar
Waziri wa Habari,Utamaduni ,Utalii na Michezo  Said Ali Mbarouk alipokuwa  akitoa taarifa ya Wizara ya utekelezaji wa mpango kazi   kwa kipindi cha mwezi Julai-Disemba 2014 jana katika kikao maalum kilichofanyika katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar   mbele ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) na Katibu Mkuu wa Baraza la Mapinduzi pia Katibu Mkuu Kiongozi Dk.Abduhamid Yahya Mzee (kulia
Baadhi ya Watendaji wa Wizara ya Habari,Utamaduni,Utalii na Michezo na Idara zake mbali mbali  wakimsikiliza Waziri wa Wizara hiyo Said Ali Mbarouk(hayupo pichani) alipokuwa  akitoa taarifa ya Wizara ya utekelezaji wa mpango kazi   kwa kipindi cha mwezi Julai-Disemba 2014 katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar jana chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
Baadhi ya Watendaji wa Wizara ya Habari,Utamaduni,Utalii na Michezo na Idara zake mbali mbali  wakimsikiliza Waziri wa Wizara hiyo Said Ali Mbarouk(hayupo pichani) alipokuwa  akitoa taarifa ya Wizara ya utekelezaji wa mpango kazi   kwa kipindi cha mwezi Julai-Disemba 2014 katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar jana chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,[Picha na Ikulu.]

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.