Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akizungumza wakati akifungua rasmi Kongamano la Kitaifa kuhusu Watoto walio
katika mazingira hatarishi, lililofanyika leo Feb. 18, 2015 kwenye Ukumbi wa
Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizindua Vitabu vya Miongozi kuhusu
huduma za Watoto walio katika Mazingira Hatarishi na Sheria ya Mtoto No, 21 ya
mwaka 2009, wakati wa ufunguzi wa Kongamano la Kitaifa kuhusu Watoto walio
katika mazingira hatarishi, lililofanyika leo Feb. 18, 2015 kwenye Ukumbi wa
Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Waziri wa Afya na Ustawi wa
Jamii, Dkt. Seif Rashid.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akionyesha Vitabu vya Miongozi kuhusu
huduma za Watoto walio katika Mazingira Hatarishi na Sheria ya Mtoto No, 21 ya
mwaka 2009, baada ya kuzindua rasmi vitabu hivyo wakati wa ufunguzi wa Kongamano
la Kitaifa kuhusu Watoto walio katika mazingira hatarishi, lililofanyika leo
Feb. 18, 2015 kwenye Ukumbi wa Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam. Kushoto ni
Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dkt. Seif Rashid (kulia) ni Mkuu wa Mkoa wa
Dar es Salaam, Said Meck Sadik
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania, Dkt. Mohamed Gharib Bilal, akimkabidhi Waziri wa Ofisi ya Rais
Menejiment ya Utumishi wa Umma, Hawa Ghasia, Vitabu vya Miongozi kuhusu huduma
za Watoto walio katika Mazingira Hatarishi na Sheria ya Mtoto No, 21 ya mwaka
2009, wakati wa ufunguzi wa Kongamano la Kitaifa kuhusu Watoto walio katika
mazingira hatarishi, lililofanyika leo Feb. 18, 2015 kwenye Ukumbi wa Mwalimu Nyerere
jijini Dar es Salaam. Kulia ni Mkuu wa Mkoa wa dare s Salaam, Said Meck Sadik
na Kulia kwa Makamu ni Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dkt. Seif Rashid
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania, Dkt. Mohamed Gharib Bilal, akimkabidhi Naibu Waziri wa Fedha, Mwigulu
Nchemba Vitabu vya
Miongozi kuhusu huduma za Watoto walio katika Mazingira Hatarishi na Sheria ya
Mtoto No, 21 ya mwaka 2009, wakati wa ufunguzi wa Kongamano la Kitaifa kuhusu
Watoto walio katika mazingira hatarishi, lililofanyika leo Feb. 18, 2015 kwenye
Ukumbi wa Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam. Kulia ni Mkuu wa Mkoa wa dare s
Salaam, Said Meck Sadik na Kulia kwa Makamu ni Waziri wa Afya na Ustawi wa
Jamii, Dkt. Seif Rashid.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania, Dkt. Mohamed Gharib Bilal, akimkabidhi Naibu Waziri wa Katiba na
Sheria, Ummy Mwalimu, Vitabu vya Miongozi kuhusu huduma za Watoto walio katika
Mazingira Hatarishi na Sheria ya Mtoto No, 21 ya mwaka 2009, wakati wa ufunguzi
wa Kongamano la Kitaifa kuhusu Watoto walio katika mazingira hatarishi,
lililofanyika leo Feb. 18, 2015 kwenye Ukumbi wa Mwalimu Nyerere jijini Dar es
Salaam. Kulia ni Mkuu wa Mkoa wa dare s Salaam, Said Meck Sadik na Kulia kwa
Makamu ni Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dkt. Seif Rashid.
Baadhi ya wanafunzi waliowawakilisha
wanafunzi wenzao katika Kongamano hilo, wakifuatilia kwa makini matukio
yaliyokuwa yakiendelea ukumbni hapo.
Msanii wa muziki wa kizazi kipya, Banana
Zorro (kulia) na msanii wa maigizo, Angelina Leonard, na baadhi ya washiriki
katika Kongamano hilo wakimsikiliza Makamu wa Rais wakati akihutubia.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na mwanafunzi, Zulfa Said,
wakati wa ufunguzi wa Kongamano la Kitaifa kuhusu Watoto walio katika mazingira
hatarishi, lililofanyika leo Feb. 18, 2015 kwenye Ukumbi wa Mwalimu Nyerere
jijini Dar es Salaam
Msanii wa kundi la Mpoto Theatle, Angelina
Leonard, akitoa ujumbe kuhusu unyanyasaji wa watoto wakati wa Kongamano hilo
Wasanii wa bendi ya
B-Band, wakiongozwa na Banana Zorro ( wa pili kulia) wakitoa burudani wakati wa
Kongamano hilo.
Mtoto Rahma Fadhili, mwanafunzi wa kidato cha
pili shule ya Sekondari ya Jitegemee, ambaye ni msanii wa kundi la sanaa la
Mpoto Theatle, akiigiza kama Chokoraa aliyekataliwa na Baba mzazi jukwaani mbele
ya mgeni rasmi, Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt.
Mohammed Gharib Bilal, wakati wa hafla hiyo ya ufunguzi
Wasani wa kundi la
Sanaa la Mpoto Theatle, wakiigiza jukwaani kutoa ujumbe maalum kuhusu Kongamano
hilo, la Kitaifa kuhusu Watoto walio katika mazingira hatarishi, lililofanyika
leo Feb. 18, 2015 kwenye Ukumbi wa Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam.
Wasani wa kundi la
Sanaa la Mpoto Theatle, wakiigiza jukwaani kutoa ujumbe maalum kuhusu Kongamano
hilo, la Kitaifa kuhusu Watoto walio katika mazingira hatarishi, lililofanyika
leo Feb. 18, 2015 kwenye Ukumbi wa Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam. Picha
na OMR
No comments:
Post a Comment