Kwa niaba ya mjumbe wa kamati tendaji ZFA taifa Maalim Masoud Attai kutakua na mahojiano (Interview) kwa makocha wa vilabu vya KMKM, Al Hilal, Polisi na CF Mounana kama ifuatavyo:
Siku ya Ijumaa 27/2/2015 saa 5:00 asubuhi kocha wa KMKM na Al Hilal.
Siku ya Jumamosi 28/2/2015 saa 5:00 asubuhi kocha wa Polisi na CF Mounana
Mikutano hiyo itafanyika ukumbi wa VIP Amaan.
No comments:
Post a Comment