MAAFISA mbali mbali kutoka Wizara ya Habari Utamaduni
Utalii na Michezo Pemba, wakiangalia mtaro wa kupitia maji ya Mvua
unaojengwa katika uwanja wa Gombani.(Picha
na Abdi Suleiman, PEMBA.)
AFISA mdhamini Wizara ya Habari Utamaduni Utalii na
Michezo Pemba, Mhe:Ali Nassor Mohammed akitoa maelekezo ya mtaro wa Kupitia
maji ya Mvua, kwa waziri wa Wizara hiyo Mhe:Saidi Ali Mbarouk mwenye suti
katikati, wakatio alipofanya ziara ya kushtukiza ya kukagua ujenzi wa Tartan ndani
ya Uwanja wa Michezo Gombani Pemba.(Picha
na Abdi Suleiman, PEMBA.)
MSHAURI mwelekezi kutoka kampuni ya Samkay CO.LTD
Suleiman Hamad Omar, akitoa ufafanuzi wa ujenzi wa tartan hiyo kwa viongozi wa
Wizara ya Habari akiwemo waziri wa wizara hiyo Mhe;Said Ali Mbarouk, wakati
alipofanya ziara ya kushtukiza kukagua ujenzi huo.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)
WAZIRI wa Habari Utamaduni Utalii na Michezo wa
Zanzibar Mhe:Saidi Ali Mbarouk, akitoa tamko la kutokuridhishwa na hali ya
ujenzi wa njia ya kukimbilia Tartan katika uwanja wa michezo Gombani Pemba,
baada ya kufanya ziara ya kushtukiza kukagua hali ya ujenzi huo unavyoendelea.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)
No comments:
Post a Comment