Habari za Punde

Lisije kukuharibikia njiani!

IPO haja kwa Wizara husika kuyapiga marufuku magari mbovu yanayotembea barabarani, pichani gari iliyoharibika na kutengenezwa na mafundi katikati ya barabara ya Machomanne-Wete, machomanne-Vitongoji na Machomanne-Chake Chake.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)



No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.