Habari za Punde

Msikiti Makuti Ukiwa katika Hali ya Sasa Baada ya kukamilika Ujenzi wake wa Kisasa

                                                  Sehemu ya mbele ya Msikiti huo

2 comments:

  1. Jambo zuri kuujenga upya msikiti , lkn kuna design maalum za misikiti , huu unavyoonekana sasa ni kama nyumba tu ya ukaazi na sio kimsikiti . Lazma makandarasi watizamwe vizuri hizo design zao

    ReplyDelete
  2. Mdau pengine pint yako ina maana sasa lakini naomba ungetusaidai kidogo, labda ulipaswa uwe na kitu gani zaidi au kitu kipi kingekaa wapi na mambo kama hayo ili hao Contractors wakaelewa zaidi hizo basic za misikiti, hata na mimi nimeona kama uivyoona wewe lakini nikasema labda pengine kutokana na ufinyu wa eneo, eneo tayari limo ndani ya mtaa uliosheheni majumba pande zote.

    ReplyDelete

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.