Habari za Punde

Warsha kwa Waandishi wa Habari Zanzibar Kuripoti Habari za Uchaguzi Zanzibar.

Mwenyekiti wa Warsha ya Waandishi wa Habari Mhe Salma Said,  kuhusiana na kuripoti Habari za Uchaguzi Mkuu wa Zanzibar mwishoni wa Mwaka huu, warsha hiyo imewashirikisha Waandishi wa vyombo mbalimbali vilioko Zanzibar, iliofanyika katika ukumbi wa jengo la Zanlink majestik Zanzibar.
Viongozi wa meza kuu wakisimama kwa dakika moja kuwakumbuka Mwakilishi waJimbo la Jimbo la  Magomeni Mhe Salmin Awadh na Mbunge wa Mbinga Magharibi, Mhe John Komba waliofariki dunia hivi karibuni.  

Waandishi wakisimama kwa dakika moja kuwakumbuka marehemu Mwakilishi wa Jimbo la Magomeni Zanzibar Mhe Salmin Awadhi na Mbunge wa Mbinga Magharibi Mhe John Komba, tayari walishafika mbele ya haki Mwenyezi Mungu awalaze mahali pema peponi Aman.

Mjumbe wa Bodi ya Ushauri ya Jumuiya  Global Network of Religions for Children Dk Mohammed Hafidh, akifungua warsha ya Waandishi wa habari wa Vyombo mbalimbali kuhusiana na kuripoti habari za Uchaguzi Zanzibar iliofanyika katika jengo la Zanlik majestik Zanzibar.
Waandishi wakimsikiliza Mjumbe wa GNRC, Dk Mohammed Hafidh wakati wa ufunguzi wa warshi hiyo iliowashirikisha waandishi wa habari wa vyombo mbalimbali vilioko Zanzibar jinsi ya kuripoti habari za Uchaguzi Mkuu Zanzibar. 

           Mkuu wa Taaluma Chuo cha Habari Hanzibar Ndg Rashid Omar Kombo akitowa Mada    kuhusiana na Misingi Mikuu ya Uandishi wa Habari za Uchaguzi na                     Utambuzi wa Viashiria vya Uvunjifu wa Amani, akiwasilisha mada     yake kwa Waandishi wa habari waliohudhuria Warsha hiyo ya siku moja iliowashirikisha Waandishi wa habari wa vyombo mbalimbali Zanzibar.

Mtoa Mada Mhe Ali Saleh akitowa Mada ya kuhusu Katiba wakati wa Warsha ya Waandishi wa Habari wa Vyombo mbalimbali Zanzibar iliofanyika katika jengo la Zanlink Majestiki Zanzibar 
Waandishi wakifuatilia Mada zinazowakilishwa wa watoa maka katika warsha hiyo ya waandishi wa habari kuripoti habari za Uchaguzi Mkuu mwezi Oktoba 2015
Mtoa Mada kutoka Kitengo cha Sheria Ndg Gabried akitowa Mada kuhusiana na Sheria za Uchaguzi wakati wa Warsha hiyo ya Waandishi wa Habari kuripoti Uchaguzi, Warsha hiyo imefanyika katika ukumbi wa jengo la Zanlink majestik Zanzibar na kuwashirikisha Waandishi wa habari wa vyombo mbalimbali vilioko Zanzibar.
Mwandishi akichangia Mada juu ya Waandishi iliowasilishwa na Ndg Rashid Omar wajibu kwa waandishi katika kuripoti habari ya Uchanguzi. 
                 Mwandishi akichangia katika warsha hiyo ya waandishi wa habari.
              Mwandishi akisisitiza jambo wakati wa kuchangia Mada zilizowasilishwa.
                                                                Mwandishi akichangia Mada

     Waandishi wakiwa katika makundi kujadili moja ya mada zilizowakilishwa katika warsha hiyo
 Waandishi wakiwa katika makundi kujadili moja ya mada zilizowakilishwa katika warsha hiyo
     Waandishi wakiwa katika makundi kujadili moja ya mada zilizowakilishwa katika warsha hiyo
                 Kiongozi wa moja ya kundi wakiwasilisha maoni yao waliojadili kwa kikundi
               Kiongozi wa moja ya kundi wakiwasilisha maoni yao waliojadili kwa kikundi
                  Kiongozi wa moja ya kundi wakiwasilisha maoni yao waliojadili kwa kikundi

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.