Habari za Punde

Zanzibar Kisiwa cha Marashi ya Karafuu Kivutio cha Watalii Duniani

Watalii wakiwasili katika bandari ya Zanzibar kwa Boti ya Kilimanjaro 3, ili kuaza safari zao za Kitalii katika Visiwa vya Zanzibar akifanya taratibu za Uhamiaji katika bandari ya Malindi baada ya kuwasili ili kutembelea sehemu mbalimbali za historia ya Zanzibar . Historia ya Zanzibar ni moja ya kivutio kwa wageni mbalimbali wanaotembelea katika kisiwahichi. 

1 comment:

  1. Mbona hatuoni mabadiliko, hayo matunda ya utalii anakula nani?

    ReplyDelete

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.