Watalii wakiwasili katika bandari ya Zanzibar kwa Boti ya Kilimanjaro 3, ili kuaza safari zao za Kitalii katika Visiwa vya Zanzibar akifanya taratibu za Uhamiaji katika bandari ya Malindi baada ya kuwasili ili kutembelea sehemu mbalimbali za historia ya Zanzibar . Historia ya Zanzibar ni moja ya kivutio kwa wageni mbalimbali wanaotembelea katika kisiwahichi.
ALLY HAPI AZINDUA KAMPENI ZA KISHINDO JIMBO LA SEGEREA
-
NA MWANDISHI WETU
KATIBU Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi Tanzania, Ally Salumu Hapi, amezindua
kampeni za Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika Jimbo la Segerea,jijin...
5 hours ago
Mbona hatuoni mabadiliko, hayo matunda ya utalii anakula nani?
ReplyDelete