Habari za Punde

Kongamano la Jimbo la Wete, juu ya umuhimu wa kuikubali Katiba inayopendekezwa,





 
KADA wa chama cha Mapinduzi kutoka Jimbo la Ole, Massoud Ali Mohamed, akitoa mada juu ya umuhimu wa kuikubali katiba inayopendekezwa, kwenye kongamano la Jimbo la wete, juu ya umuhimu wa kuikubali Katiba inayopendekezwa, lililofanyika ukmbi wa Jamhuri Wete Pemba, (Picha na Haji Nassor, Pemba)

VIONGOZI wa CCM kutoka Jimbo la Wete Pemba, wakisoma katiba inayopendekezwa, kwenye kongamano la siku moja la umuhimu wa kuipigia kura ya ndio katiba inayopendekezwa, lililofanyika ukumbi wa Jamhuri Wete Pemba, na kuhutubiwa na kada wa chama hicho kutoka Jimbo la Ole, Massoud Ali Mohamed, (Picha na Haji Nassor, Pemba).

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.