Habari za Punde

Naibu Waziri wa Afya Mhe Mahmoud Akabidhi Pikipiki kwa Watendaji wa Wilaya Unguja

 Mfamasia Mkuu wa Zanzibar Dkt. Habib Ali Sharif akizungumza na Mafisa wa Afya wa Wilaya kabla ya kukabidhiwa Pikipiki kwaajili ya usambazaji wa Dawa Wilayani, pikipiki hizo zimetolewa na Shirika la watu wa Marekani (USAID) hafla hiyo ya makabidhiano imefanyika Bohari Kuu la Madawa Maruhubi Mjini Zanzibar
Naibu Waziri wa Afya Zanzibar Mahmoud Thabit Kombo (kushoto) akimkabidhi Pikipiki Afisa wa Afya wa Wilaya Nd. Khamis Daud Ali katika hafla ya makabidhiano iliyofanyika Maruhubi.
Mafisa wa Afya wa Wilaya wakiwa kwenye Pikipiki zao mara baada ya kukabidhiwa.
Mafisa wa Afya wa Wilaya wakiwa kwenye Pikipiki zao mara baada ya kukabidhiwa.(Picha na Makame Mshenga-Maelezo)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.