Meneja
Masoko na Mawasiliano wa PSPF Bi Costantian M Martin, akitowa maelezo kwa
Waandishi wa habari wa Mitandao ya Kijamii Tanzania Bloggers NetworK na wa
Redio Clouds Fm wakipofanya ziara kutembelea Mfuko huo kuona jinsi ya utendaji
wake kwa Wanachama wake. Wakiwa katikac Ofisi za PSPF Golden Jubille Towers.
Wanahabari wa Tanzania Bloggers Network na wa Redio Clouds FM, wakitembela Mfuko wa
Pensheni wa PSPF, kujionea ufanisi wa Mfoko huo katika kutowa huduma kwa
Wanachama wake. Wakipata maelezo.
Afisa Mtunza Kumbukumbu za Wanachama wa Mfuko wa
Pensheni wa PSPF Ndg. Linick Nkinda , akitowa maelezo kwa Wadauu wa habari
jinsi ya utunzaji wa kumbukumbu za Wanachama wa Mfuko huo wa PSPF, wakati wa
ziara yao katika jingo la Afisi Kuu ya PSPF Golden Jubille Towers mtaa wa Ohio
Mjini Dar-es-Salaam.
Afisi wa Kitengo cha Utunzaji wa Kumbukumbu za Wanachama wa
PSPFakiwaonesha jinsi ya kulipata faili la mwanachama kupitia mtandao na kujua
liko sehemu gani katika makabati maalum ya kisasa. Huchukua muda mfupi kupata
taarifa za mwanachama.
Wafanyakazi
wa kitengo cha utunzaji wa mafaili wakitia kumbukumbu za wanachama katika
mtandaoo kwa kutunza kumbukumbu hizo.
Afisa wa Kitengo cha Huduma kwa Wateja wa PSPF Bi Khadija
Mwema, akitowa maelezo kwa Wadauu wa habari wa Jumuiya ya Tanzania Bloggers
Network na wa Redio Clouds FM walipofanya ziara ya kutembelea Afisi hizo katika
jengo la Golden Jubille Towers mtaa wa
Ohio Dar-es-Salaam.
Afisa wa Kitengo cha Huduma kwa Wateja wa PSPF Bi Khadija
Mwema, akitowa maelezo kwa Wadauu wa habari wa Jumuiya ya Tanzania Bloggers
Network na wa Redio Clouds FM, mashine maalum (PSPF KIOSK)ya kutolea taarifa
kwa Wateja Mfuko wa PSPF, wanapofika kupata taarifa ya mafao yao. Walipokuwa
katika ziara ya kutembelea Afisi hizo
katika jengo la Golden Jubille Towers
mtaa wa Ohio Dar-es-Salaam.
Wadau
wa Habari Tanzania wakiwa katika basi wakiwa katika ziara yao kutembelea miradi
ya Mfuko wa PSPF,katika mtaa wa Samora mjini Dar-es-Salaam. Kujionea mradi
mkubwa wa majengo mawili pacha yenye urefu wa gorofa 32.
Wadau wa habari wakiwasili katika moja ya majengo ya mradi
wa PSPF wa nyumba za kuishi na biaashara, lilioko katika barabara ya Samora.
Wadau wakiwa katika jengo hilo tayari kwa kujionea hali halisi ya mradi huo mkubwa wa majengo mawili pacha
Eng.
Novatus Odass wa PSPF, Services Supervisor)akitowa maelezo ya mradi huo wa
ujenzi wa majengo pacha ya gorofa 32 yanayojengwa na mfuko huo ikiwa ni moja ya
mradi wake mkubwa, majengo hayo yatakuwa kwa ajili ya makazi na ofisi za
biashara.
No comments:
Post a Comment