Kiongozi wa timu ya Madaktari wa Kichina ilioko katika Hospitali ya Abdalla Mzee Mkoani Dk, YU,akitowa maelezo kwa niaba ya Madakatari wenzake kabla ya kukabidhi msaada wa Vitabu vya kusomea kwa
Skuli ya Ng'ombeni A.
DK, YU, Kiongozi wa Madaktari wa Kichina walioko katika Hospitali ya Abdalla Mzee Mkoani Pemba, akikabidhi vitabu vya kusomea kwa Walimu wa skuli ya Ng,ombeni A

Afisa Elimu na Mafunzo ya Amali Wilaya ya Mkoani Pemba, Ndg.Seif Moh'd Seif,akitowa Shukrani kwa madaktari mabingwa kutoka Kichina huko Pemba,madaktari hao mbali na kutowa huduma za Afya pia wamekuwa wakisaidia
huduma mbali mbali za kijamii ikiwemo Elimu.(Picha na Shaib Kifaya -Pemba)
No comments:
Post a Comment