Habari za Punde

Mafunzo ya usimamizi wa usafiri yamalizika nchini China


 Mafunzo ya usimamizi wa usafiri yaliyowashirikisha maofisa mbali mbali wa usafiri kutoka Zanzibar yamemalizika nchini China. Mategemeo ya wengi mafunzo hayo yatasaidia kudhibiti ajali zembe visiwani mwetu. Miongoni mwa wanafunzi waliohudhuria ni bwana Mohamed Simba wa tatu kutoka kushoto walioketi.
Ndugu Mohamed Simba akionyesha cheti chake cha usimamizi wa usafiri baada ya kumaliza mafunzo yake ya muda mfupi mjini Beijing China.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.