Habari za Punde

Ufunguzi wa msikiti wa Kinyasini, Pemba



 Baadhi ya wajumbe wa Bodi ya Muzdalifah waliokuwepo kwenye ufunguzi wa Msiki wa Kinyasini Pemba 
 Mwonekano wa msikiti wa Kinyasini uliofunguliwa jana

 Waziri wa katiba na Sheria mhe, Abubakar Khamis Bakary akiwa pamoja na wajumbe wa Bodi ya Muzdalifah siku ya ufunguzi wa msikiti wa kinyasini Pemba uliofanyika jana 19/06/2015
Baadhi ya wanafunzi wanaosoma Msikitini hapo wakisalimiana an Shaykh Ismail Asakheri

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.