Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,
Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akipokea Hati ya Utambulisho kutoka kwa Balozi Mteule
wa Uhispania Mhe. Paloma Serra Robles, Ikulu Chamwino mkoani Dodoma tarehe 06
Agosti, 2025.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,
Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Balozi Mteule wa
Uhispania Mhe. Paloma Serra Robles mara baada ya kuwasilisha Hati yake ya
Utambulisho, Ikulu Chamwino mkoani Dodoma tarehe 06 Agosti, 2025.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,
Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Balozi Mteule wa
Uhispania Mhe. Paloma Serra Robles mara baada ya kuwasilisha Hati yake ya Utambulisho,
Ikulu Chamwino mkoani Dodoma tarehe 06 Agosti, 2025.
Balozi Mteule wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya
Watu wa Algeria hapa nchini Mhe. Ghalib Zermane akisaini Kitabu cha Wageni mara
baada ya kuwasili Ikulu Chamwino mkoani Dodoma tarehe 06 Agosti, 2025.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,
Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akipokea Hati ya Utambulisho kutoka kwa Balozi Mteule
wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Watu wa Algeria hapa nchini Mhe. Ghalib Zermane
Ikulu Chamwino mkoani Dodoma tarehe 06 Agosti, 2025.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,
Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Balozi Mteule wa
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Watu wa Algeria hapa nchini Mhe. Ghalib Zermane,
Ikulu Chamwino mkoani Dodoma tarehe 06 Agosti, 2025.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,
Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Balozi Mteule wa
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Watu wa Algeria hapa nchini Mhe. Ghalib Zermane,
Ikulu Chamwino mkoani Dodoma tarehe 06 Agosti, 2025.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,
Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akipokea Hati za Utambulisho kutoka kwa Balozi Mteule
wa Jamhuri ya Sudan hapa nchini Mhe. Mohamed Abdalla Abdelhameed Ahmed mara
baada ya kuwasili Ikulu Chamwino mkoani Dodoma tarehe 06 Agosti, 2025.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,
Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Balozi Mteule wa
Jamhuri ya Sudan hapa nchini Mhe. Mohamed Abdalla Abdelhameed Ahmed Ikulu
Chamwino mkoani Dodoma tarehe 06 Agosti, 2025.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,
Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Balozi Mteule wa
Jamhuri ya Sudan hapa nchini Mhe. Mohamed Abdalla Abdelhameed Ahmed Ikulu
Chamwino mkoani Dodoma tarehe 06 Agosti, 2025.
No comments:
Post a Comment