Habari za Punde

KIST WASHIRIKI MAONESHO YA WAKULIMA (NANENANE) DOLE KIZIMBANI.

Wananchi kutoka maeneo mbali mbali ya Zanzibar, wakipata maelezo kuhusu fani zinazotolewa na Taasisi ya Sayansi na Teknolojia ya Karume (KIST), walipofika katika Banda la Taasisi hiyo Katika Maonesho ya Wakulima (nanenane), yanayoendelea Viwanja vya Dole Kizimbani Wilaya ya Magharib "A" Mkoa wa Mjini Magharib.




Picha na Maryam Kidiko -KIST.

 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.