Habari za Punde

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe. Albert John Chalamila Atembelea Banda la Maonesho la THBUB

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Mhe. Albert John Chalamila, akizungumza na Afisa Mfawidhi wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB) tawi la Dar es Salaam.  Bi. Shoma Phillip Ndono, alipotembelea banda la tume hiyo kwenye maonesho ya wakulima - nanenane yanayoendelea viwanja vya Julius K. Nyerere Mkoani, Morogoro.

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Mhe. Albert John Chalamila, akisaini kitabu cha wageni alipotembelea banda la Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB) kwenye maonesho ya wakulima Nanenane yanayoendelea viwanja vya Julius K. Nyerere Mkoani, Morogoro. (Picha na THBUB)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.