Habari za Punde

Ajira hizi zisizo rasmi kwa watoto ziangaliwe!

 TAASISI mbali mbali zikiwemo za serikali na watu binafsi, zimekuwa wakimwaga machozi kukataa watoto kutumikishwa, ingawa kwa baadhi ya maeno kama vile Kisiwa cha Kojani wilaya ya Wete Pemba, bado baadhi ya wazazi na walezi wamekuwa wakiwaruhusu watoto wao kushiriki katika kazi za kilimo cha mwani, (Picha na Haji Nassor, Pemba).


KUMEIBUKA tabia isio njema, kwa baadhi ya wafanyabiashara hasa wa urojo na chips kuwatumia watoto kuwafanyia kazi zao ndogo ndogo kama vile kumenya mbatata au kukosa vyombo, bila ya kujali muda wao wa masomo, watoto hawa walionekana eneo la Ole Kianga wilaya ya Wete Pemba wakifanya kazi hizo, (Picha na Haji Nassor, Pemba)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.