Habari za Punde

Balozi Amina Salum Ally kuzungumza na wanahabari kesho

Mwaliko wa Press Conference kesho

Mtia Nia wa nafasi ya Urais CCM,Balozi Amina Salum Ally kesho anatarajia kufanya Mkutano na Wanahabari.

Atafanya katika Ukumbi mdogo wa Hoteli ya Bwawani mjini Zanzibar saa 08:00 mapema asubuhi.

Kwa taarifa hii Waandishi mnaombwa kushiriki katika kazi hiyo ili kufanya majukumu yenu ya msingi.

IMETOLEWA NA MAELEZO ZANZIBAR 06/07/2015

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.