Habari za Punde

Makamu wa Rais Dkt.Bilal Aagana na Balozi wa India Nchini Tanzania.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Balozi wa India Nchini Tanzania, Debnath Shaw, anaye maliza muda wake wa kazi nchini wakati alipofika Ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kumuaga rasmi
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiagana na Balozi wa India nchini Tanzania, Debnath Shaw, baada ya mazungumzo yao yaliyofanyika Ofisini kwa Makamu Ikulu jijini Dar es Salaam, wakati alipofika kwa ajili ya kuaga rasmi baada ya kumaliza muda wake wa kazi nchini. Picha na OMR

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.