MKE
wa Rais Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mama Mwanamwema Shein,
akijumuika katika futari maalum ilioandaliwa na Rais wa Zanzibar Dk Shein, kwa
Wananchi wa Wilaya ya ChakeChake Pemba iulofanyika katika viwanja vya Ikulu Chake
, kulia Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba Mhe Mwanajuma Majid Abdalla na Mkuu wa
Wilaya ya Chakechake Mhe Hanuna Ibrahim Masoud, wakujumuika katika futari hiyo
ilioandaliwa na Rais wa Zanzibar Dk. Shein.
WANANCHI
wa Wilaya ya Chakechake Pemba wakijumuika na Mke wa Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mama Mwanamwema Shein, katika futari
ilioandaliwa na Rais wa Zanzibar Dk Shein, kwa wananchi hao katika viwanja vya
Ikulu Chake Chake.
MKE
wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mama Mwanamwema Shein,
akiitikia dua baada ya kumalizika kwa hafla ya futari ilioandaliwa na Rais wa
Zanzibar Dk Shein, katika viwanja vya Ikulu Chakechake Pemba.
WANANCHI
wa Wilaya ya Chakechake Pemba wakiitikia dua baada ya kumalizika kupata futari
ilioandaliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali
Mohamed Shein, katika viwanja vya Ikulu Chakechake Pemba.
MKE wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Mama Mwanamwema Shein, akiagana na Wananchi wa Wilaya ya Chakechake
waliohudhuria hafla ya futari maalumu ilioandaliwa na Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Shein, katika viwanja vya Ikulu
Chakechake.

No comments:
Post a Comment