Habari za Punde

Waziri Mwinyihaji Akutana na Waziri Mkuu Mstaafu wa Kenya Odinga.






Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Ikulu na Utawala Bora Mhe Dk Mwinyihaji Makame akisalimiana na Waziri Mstaaf wa Kenya Mhe Raila Amolo Odinga alipofika Ofisini kwake kumsalimia akiwa Zanzibar kushiriki Mkutano wa Kuimarisha Masuala ya Ushirikiano katika Amani Usalama na Maendeleo kwea Nchi za Afrika Mashariki unaotarajiwa kufanyika kesho Zanzibar.
 Waziri Mwinyihaji akizungumza na Waziri Mstaaf wa Kenya Mhe Raila Odinga alipofika Ofisini kwake kumsalimia akiwa Zanzibar kuhudhuria Mkutano wa Ushirikiano na ASmani Usalama Afrika Mashariki.
Waziri wa Nchi Afisi ya Rais Ikulu na Utawala Bora, Mhe Dk Mwinyihaji Makame akizungumza na Waziri Mstaaf wa Kenya Mhe Raila Amolo Odinga alipofika Ofisini kwake kumsalimiana akiwea Zanzibar akihudhuria Mkutano wa Kimataifa wa Kuimarisha Masuala ya Ushirikiano katika Amani Usalama na Maenndeleo kwa Nchi za Afrika Mashariki, unaotarajiwa kufanyika kesho Zanzibar.
Waziri Mstaaf wa Kenya Mhe Raila Amolo Odinga akiwa na ujumbe wake akizungumza na Waziri wa Nchi Afisi ya Rais Ikulu na Utawala Bora Dk Mwinyihaji Makame alipofika kumsalimia akiwa Zanzibar kuhudhuria Mkutano wa Maendeleo kwa Nchi za Afrika Mashariki.
 Waziri Mstaaf wa Kenya Mhe Raila Amolo Odinga akiwa na ujumbe wake akizungumza na Waziri wa Nchi Afisi ya Rais Ikulu na Utawala Bora Dk Mwinyihaji Makame alipofika kumsalimia akiwa Zanzibar kuhudhuria Mkutano wa Kuimarisha Masuala ya Ushirikiano katika Amani Usalama na Maendeleo kwa Nchi za Afrika Mashariki unaotarajiwa kufanyika Zanzibar kesho. 
Waziri Mwinyihaji akiagana na mgeni wake Waziri Mkuu Mstaaf wea Kenya Mhe Raila Odinga

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.