WACHEZAJI watatu wa timu ya Yanga, Golkipa Mudathir
Yahya, Salum Telela na Kelvin Yondani wakijitibu nje ya uwanja wa gombani na
kushindwa jana kufanya mazoezi na wenzao.(Picha
na Abdi Suleiman, PEMBA.)
KOCHA Mkuu wa Timu ya Yanga Mholanzi Hans Van Der
Pluijm, akiwasimamia wachezaji wake wakati walipokuwa wakifanya mazoezi ya
Viungo, wakati walipowasili katika uwanja wa michezo Gombani.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)
KOCHA Mkuu wa Timu ya Yanga Mholanzi Hans Van Der
Pluijm, akiwa na wachezaji wake mara baada ya kumaliza mazoezi yao katika
uwanja wa michezo gombani.(Picha na Abdi
Suleiman, PEMBA.)
No comments:
Post a Comment