Habari za Punde

Kampeni za lala salama za CCM jimbo la Ole


 MGOMBEA Ubunge wa Jimbo la Ole kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM)Mhe:Omar Mjaka Ali, katikaki akiwa na mgombea uwakilishi wa jimbo hilo wa kwanza kushoto Mhe;Mussa Ali Mussa, wakati wa kampeni wa jimbo hilo huko katika kijiji cha Mjini Ole.(Picha na Abdi Suleiman.PEMBA.)
 MGOMBEA Uwakilishi wa jimbo la Ole kwa tiketi ya CCM, Mhe:Mussa Ali Mussa akizungumza na wanaCCM wa Jimbo la Ole katika mkutano wa kampeni za CCM huko katika kijiji cha Mjini Ole.(Picha na Abdi Suleiman.PEMBA.)
 WANACHAMA wa Chama Cha Mapinduzi (CCM)Jimbo la Ole wakicheza mziki baada ya kumalizika kwa kampeni za chama hicho katika kijiji cha Mjini Ole.(Picha na Abdi Suleiman.PEMBA.)
MGOMBEA Ubunge wa jimbo la Ole kwa tiketi ya CCM,  Mhe:Omar Mjaka Ali, akizungumza na wanaCCM wa jimbo hilo, katika kampeni za chama hicho huko katika kijiji cha Mjini Ole.(Picha na Abdi Suleiman.PEMBA.)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.