Habari za Punde

Lowassa aendelea na kampeni zake Ruaha


Mgombea Urais wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli wa UKAWA, Mh. Edward Lowassa akiongea na wananchi wa Ruaha katika viwanja vya Tem K2 Ruaha leo Ijumaa 23/10/2015
 Mgombea ubunge wa jimbo la Mikumi Joseph Haule akimueleza matatizo ya Mikumi Mgombea Urais wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli wa UKAWA, Mh. Edward Lowassa pamoja na kuzungumza na wananchi waliofika katika viwanja vya Tem k2, leo Ijumaa 23 Oktoba 2015
Wananchi wakishangilia katika mkutano huo
Mgombea Urais wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli wa UKAWA, Mh. Edward Lowassa pamoja na Mhe. Fredrick Sumaye wakiwasili katika viwanja vya Tem K2 Ruaha, leo Ijumaa 23/10/2015.

1 comment:

  1. picha ya pili kutoka chini inavutika na ina uhalisia zingine zimeeditika mno yaani zimekatwa kupoteza uhalisia makamanda wekeni picha halisi tupate furaha ya mkutano na msisimko.

    ReplyDelete

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.