MKUU wa Msafara wa madaktari bingwa kutoka Tanzania
bara Dk Mohamed Juma Mohamed, akizungumza na waandishi wa habari juu ya ujio
wao wa kutoa huduma bure kwa wananchi wa Pemba, kwa niaba ya Jumuiya ya Maendeleo ya Wapemba JUMP.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)
DAKTARI bingwa kutoka Tanzania bara Dk Mashavu,
akiangalia buku la mmoja wa wagonjwa waliolazwa katika hospitali ya Wete, mara
baada ya kuwasili kwa timu ya madaktari bingwa kuanza kutoa huduma ya kujitolea
kwa madaktari hao, madaktari hao wapo kisiwani Pemba kwa niaba ya Jumuiya ya
Maendeleo ya Wapemba JUMP.(Picha na
Abdi Suleiman, PEMBA.)
No comments:
Post a Comment