AFISA Tawala kutoka Tume ya Uchaguzi ya Taifa NEC,
Bibi Irene Kadushi akiwasilisha mada ya Maandalizi ya Uchaguzi Mkuu, kwa
viongozi wa vyama vya siasa Kisiwani Pemba, mkutano huo uliofanyika katika
ukumbi wa PHL Wawi Pemba.(Picha na Abdi
Suleiman, PEMBA)
MWENYEKITI wa Chama cha CHADEMA kisiwani Pemba Said
Issa, akichangia mada ya Maandalizi ya Uchaguzi Mkuu, katika mkutano wa siku
moja ulioandaliwa na NEC kwa viongozi wa vyama vya siasa kisiwani Pemba.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA)
MRATIB wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC)Kisiwani
Pemba, DK Mohamed Ali Jape, akizungumza na Viongozi wa vyama vya siasa kisiwani
Pemba, huko katika Ukumbi wa PHL Wawi Chake Chake Pemba.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA)
MWENYEKITI wa Chama cha AFP Taifa Tanzania, ambaye
pia ni mgombea urais wa Zanzibar kupitia chama hicho Mhe:Said Soud Saidi,
akichangia mada katika mkutano huo wa Vyama vya siasa huko PHL Wawi Chake Chake
Pemba.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA)
No comments:
Post a Comment