Habari za Punde

Rais wa Namibia Amaliza Ziara yake ya Kikazi ya Siku mbili Nchini.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimsindikiza Rais wa Namibia ambaye amemaliza ziara yake ya kikazi ya siku mbili nchini, akiangalia vikundi vya ngoma za utamaduni katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere  jijini Dar es salaam 

Rais Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dk Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na mgeni wakeRais wa Namibia wakipokea salamu za wimbo wa Taifa, baada ya kumaliza ziara yake ya Siku Mbili Nchini Tanzania,katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere  jijini Dar es salaam 
Rais wa Namibia akiagana na Viongozi wa Serikali baada ya kumaliza ziara yake ya Siku mbili ya Kikazi Nchini Tanzania, akiwa katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyererejijini Dar-es-Salaam akiwa na mwenyeji wake Rais Jakaya Kikwete.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiagana na Rais wa Namibia ambaye amemaliza ziara yake ya kikazi ya siku mbili nchini Tanzania, katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere  jijini Dar es salaam 
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiagana na Rais wa Namibia ambaye amemaliza ziara yake ya kikazi ya siku mbili nchini Tanzania, katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere  jijini Dar es salaam 
Rais wa Namiabia akiagana nac Mwenyeji wake Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.Jakaya Mrisho Kikwete, baada ya kumaliza ziara yake ya Kikazi ya Siku mbili Nchini Tanzania.wakiwa katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere  jijini Dar es salaam 
Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.Jakaya Mrisho Kikwete akimuaga kwa kumpungia mkono Rais wa Namibia ambaye amemaliza ziara yake ya kikazi ya siku mbili nchini Tanzania,akiwa katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere.(Picha na Ikulu)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.