Wadau na wapenzi wa ZanziNews. Assalaamu Alaykum
Tunaomba radhi kwa kutokuwa hewani kwa muda wa siku mbili kutokana na matatizo ya kiufundi yaliyokuwa nje ya uwezo wetu ambapo tulishindwa kuingia na kupandisha habari kwa muda muwafaka.
Tunashukuru tatizo lililojitokeza limepatiwa ufumbuzi na tumerudi hewani na tuaendelea kuwapasha habari kama kawaida yetu.
Ahsanteni sana na polenio kwa usumbufu uliojitokeza
ZanziNews Admin
Dah, katika kipindi nyeti ndo hitilafu za kiufundi zinatokea. Natumai ni sababu za kiukweli na sio danganya toto.
ReplyDeleteUkiachilia hivo, pongezi kwa nzuri unayofanya