Habari za Punde

Tumerudi Hewani

Wadau na wapenzi wa ZanziNews. Assalaamu Alaykum

Tunaomba radhi kwa kutokuwa hewani kwa muda wa siku mbili kutokana na matatizo ya kiufundi  yaliyokuwa nje ya uwezo wetu ambapo tulishindwa kuingia na kupandisha habari kwa muda muwafaka.

Tunashukuru tatizo lililojitokeza limepatiwa ufumbuzi na tumerudi hewani na tuaendelea kuwapasha habari kama kawaida yetu.

Ahsanteni sana na polenio kwa usumbufu uliojitokeza

ZanziNews Admin

1 comment:

  1. Dah, katika kipindi nyeti ndo hitilafu za kiufundi zinatokea. Natumai ni sababu za kiukweli na sio danganya toto.
    Ukiachilia hivo, pongezi kwa nzuri unayofanya

    ReplyDelete

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.