Habari za Punde

Kwahitajika Huduma ya Kwanza Michezoni


Kukosekana  kwa watu wa huduma ya kwanza na machela ya kuchukulia wachezaji wanaoaumia uwanjani ni jambo la hatari sana, pichani viongozi wa Timu ya Msumari ya Tundauwa wakimbeba mchezaji wao baada
ya kuumia, katika mchezo wa ligi daraja la pili taifa Pemba, Msumari kushinda goli 3-1 dhidi ya Black Wizard.

(Picha na Abdi Suleiman, Pemba)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.