Habari za Punde

Mchezo wa Kirafiki wa Timu ya Taifa ya Zanzibar na Kombaini ya Wilaya ya Mjini Unguja Amani

 Viongozi wa Timu ya Jangombe Boys wakiwa na Kocha Wao Mkuu wakifuatilia mchezo wa Kujipima Nguvu wa Timu ya Taifa ya Zanzibar na Kombaini ya Wilaya yac Mjini Unguja uliofanyika Uwanja wa Amaan Zanzibar. Timu ya Taifa ya Zanzibar imeshinda 2--1
Kizaaza katika goli la kombaini ya Wilaya ya Mjini wakati wa mchezo wao wa kirafiki na Timu ya Taifa ya Zanzibar mchezo uliofanyika uwanja wa Amaan Zanzibar. Timu ya Taifa ya Zanzibar imeshinda 2--1.

Wapenzi wa mchezo wa mpira Zanzibar wakifuatilia mchezo wa kirafiki wa kujipima nguvu kwa Timu ya Taifa ya Zanzibar ikijiandaa na Michuano ya Chalenji yanayotarajiwa kufanyika Nchini Ethiopia mwishoni mwa mwezi huu.
Kocha Msaidizi wa Timu ya Taifa ya Zanzibar Malale Hamsini akiwa na Jopo la Makocha wa Timu hiyo wakifuatilia mchezo wao wa kwanza wa kirafiki na Timu ya Kombaini ya Wilaya ya Mjini Unguja uliofanyika Uwanja wa Amaan Zanzibar timu hiyi imeshinda 2--1.




Mchezaji wa timu ya Taifa ya Zanzibar Khamis Mcha akiwa na mpira wakati wa mchezo wao wa kirafiki na timu ya Kombaini ya Wilaya ya Mjini Unguja mchezo uliofanyika Uwanja wa Amaan timu ya Taifa ya Zanzibar imeshinda 2--1
Wachezaji wa Timu ya Taifa ya Zanzibar na Kombaini ya Wilaya ya Mjini wakiwania mpira wakati wa mchezo wao wa kirafiki uliofanyika uwanja wa Amaan Zanzibar timu ya Taifa ya Zanzibar imeshinda 2--1.
Wapenzi wa mchezo wa mpira Zanzibar wakifuatilia mchezo wa kirafiki wa Timu ya Taifa ya Zanzibar uliofanyika katika Uwanja wa Amaan Zanzibar. wakati wa mchezo wao wa kwanza wa kujipima nguvu kwa ajili ya kujiandaa ni michuano ya Chalenji inayotarajiwa kufanyika Nchini Ethiopia mweshoni mwa mwezi huu. 
Viongozi wa Kamati ya Muda ya ZFA wakitafakari hali ya Ligi Kuu ya Zanzibar kufanyika nje ya Mji wa Unguja katika viwanja vya mchangani baada ya kutofanyika katika Uwanja wa Amaan Zanzibar, wakiwa katika Uwanja wa Amani wakifuatilia mchezo wa Kirafiki wa Timu ya Taifa ya Zanzibar uliofanyika katika uwanja huo. Na kushangaa kutofanyika kwa michezo ya Ligi Kuu ya Zanzibar.  
Kocha Mkuu wa Timu ya Kombaini ya Wilaya ya Mjini Unguja King akifuatilia mchezo wake wa kirafiki na timu ya Taifa ya Zanzibar uliofanyika Uwanja wa Amani timu ya Zanzibar imeshinda 
2--1.

Kocha Msaidizi wa Timu ya Taifa ya Zanzibare Malale Hamsini akizungumza na Waandishi wa habari baada ya mchezo wao wa kwanza wa kujipima nguvu na Timu ya Kombaini ya Wilaya ya Mjini Unguja ikiwa ni mchezo wa kujipima nguvu kujiandaa na michuano ya Kombe la Chalenji na kuhakikisha timu yake iko vizuri na kuahidi kuleta ushindi katika michuano hiyo. 
Mchezaji wa Timu ya Taifa ya Zanzibar Nassor akizungumza na waandishi wa habari baada ya mchezo wao wa kirafiki wa kujipima nguvu na Timu ya Kombaini ya Wilaya ya Mjini wakijiandaa na Michuano ya Chalenji yanayotarajiwa kufanyika Nchini Ethiopia mwishoni mwa mwezi huu, 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.