Habari za Punde

Sherehe za Kuadhimisha Miaka 21 ya Skuli ya Nasari ya Islamaic Mfenesini Zanzibar

Mgeni Rasmi Mziwanda ambae ni mlezi wa Skuli ya Nasari islamik Mfenesini katikati Diwani wa Mfenesini Msimu Seif Abdalla kushoto ni Mbunge wa Jimbo la Mfenesini  Kanal Masoud  Ali  wakikagua Jengo la Skuli ya Nasari katika sherehe za ishirini na moja (21)  za skuli hiyo.
Mwalimu Mkuu wa Skuli ya Nasar Islamik Mfenesini Moh’d Yussuf Juma akimpatia maelezo Mgeni Rasmi Mziwanda juu ya kukwama kwa ujenzi wa Jengo lao jipya kushoto ni Diwani wa Mfenesini Msim Seif Abdalla.
 Wanafunzi Sada Hassan na Arafa Hemed wakisoma utenzi katika sherehe hizo
Mgeni Rasmi Mziwanda  ambae ni mlezi wa Skuli hiyo akizungumza na Wazazi, Wanafunzi ambao pichani hawapo kwenye Sherehe za Mahfali ya Skuli hiyo.
Baadhi ya Wanafunzi wa Skuli ya Nasari ya Islamik Mfenesini waliohudhuria katika Sherehe hizo. 
Mgeni Rasmi Mziwanda akimkabidhi Sh. 500,000/ Mwalimu Rehema Sleiman kwa niaba ya Mwalimu Mkuu wa Skuli hiyo katikati Diwani wa Mfenesini Msim Seif Abdalla kushoto Mwalimu Mkuu Moh’d Yussuf Juma wakishuhudia.
Mgeni Rasmi Mziwanda akimkabidhi Sh. 500,000/ Mwalimu Rehema Sleiman kwa niaba ya Mwalimu Mkuu wa Skuli hiyo katikati Diwani wa Mfenesini Msim Seif Abdalla kushoto Mwalimu Mkuu Moh’d Yussuf Juma wakishuhudia.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.