Habari za Punde

Utoaji wa Tunzo za Vituo Bora vya Makaazi ya Watoto

 Afisa Ustawi wa  jamii Mkoa wa  Arusha  Blandina Nkini wakati wa utoaji wa tuzo za vituo bora vya malezi ya watoto zilizoandaliwa na shirika lisilokua la kiserikali la The Foundation For Tommorrow lililoko mkoani hapa ,kulia ni Mkurugenzi wa Shirika hilo Kennedy Oulo 
Afisa Ustawi wa  jamii Mkoa wa  Arusha  Blandina Nkini, akimkabidhi Tunzo mmoja wa Wamiliki wa vituo vya makao ya watoto wakipokea tuzo za makao bora ya watoto.
Afisa Ustawi wa  jamii Mkoa wa  Arusha  Blandina Nkini,akiwa katika picha ya pamoja na Viongozi wa Vituo vya Kulelea Watoto Arusha wakati wa hafla ya kukabidhi Tunzo kwa Vituo Bora. 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.