Habari za Punde

Balozi wa Tanzanianchini Oman, alamba nondo ya Uzamivu (PHD), Chuo Kikuu huria (OUT) kwenye mahafali ya 29


Balozi, Maalim Dr. Ali Ahmed Saleh akisindikizwa na msimamizi wake wa masomo (Supervisor) Prof. Hossea Rwegoshora kupokea shahada yake ya Phd.
Mkuu wa Chuo Kikuu Huria Tz Dr Asha Rose Migiro akimtunuku Shahada ya Phd – Balozi, Maalim Dr Ali Ahmed Saleh katika Mahafali ya 29 ya OUT mnamo tarehe 16/12/2015

Balozi, Maalim Dr Ali Ahmed Saleh akipongezwa na Mjumbe wa Baraza la Out, Prof Samwel Wangwe.Wengine ni pamoja na Waziri Mkuu Mstaafu Mzee John S. Malecela (Kulia) na Waziiri Mkuu Mstaafu Mh. Mizengo Pinda (Mgeni Wa Heshima Wa Mahafali)
Picha ya Pamoja ya Wahitimu ya Shahada ya Phd(Out)  katika Mahafali ya 29 ya OUT mwaka 2015.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.