Habari za Punde

Ligi Kuu ya Zanzibar Mchezo Kati ya Kimbunga na Kipanga. Timu ya Kipanga Imeshinda 1--0.

 Mshambuliaji wa Timu ya Kipanga akimpita beki wa Timu ya Kimbunga
 Kipa wa Timu Kimbunga akioko moja ya mpira golini kwao wakati wa mchezo wao wa Ligi Kuu ya Zanzibar uliofanyika uwanja wa Amaan Timu ya Kipanga imeshinda 1--0.
 Mchezaji wa Timu ya Kipanga na Kimbunga wakiwania mpira wakati wa mchezo wao wa Ligi Kuu ya Zanzibar uliofanyika uwanja wa Amaan Timu ya Kipanga imeshinda 1--0.
Mshambuliaji wa timu ya Kipanga akimpita Beki wa Timu ya Kimbunga wakati wa mchezo wao wa Ligi Kuu ya Zanzibar uliofanyika uwanja wa Amaan Timu ya Kipanga imeshinda 1--0

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.