Habari za Punde

Ligu Kuu ya Zanzibar KMKM na Jangombe Boys, Timu ya Jangombe Boys Imeshinda 2--1

Wapenzi wa mchezo wa mpira Zanzibar wakifuatilia mcka mchezo huo Timu ya Jangombe Boys imeshinda 2--1 dhidi ya wapinzani wao Timu ya KMKM, magoli ya Jangombe Boys yamefungwa katika dakika ya 14 ya kipindi cha kwanza na mchezaji Hafidh Barik na la pili limefungwa na mchezaji Ramad Khamis katika dakika ya 74 ya mchezo kipindi cha pili na goli la kufutia machozi la Timu ya KMKM limefungwa na mchezaji Amour Ali katika dakika ya 79 ya mchezo huo kipindi cha pili.No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.