Habari za Punde

Maofisa wa Kamisheni ya Utalii Pemba Watembelea Hoteli ya Muyuni Pemba.

Mkurugenzi mkaazi wa Mamlaka ya Vitega Uchumi Pemba, Fadhila Hassan Abdalla, akifuatana na Watendaji wa Hoteli ya Muyuni , wakati akikaguwa mazingira ya Hoteli hiyo huko Makangale Pemba. 
Baadhi ya maafisa kutoka Kamisheni ya Utalii Pemba, wakiwa katika kikao cha Kamisheni hiyo na Muwekezaji wa Hoteli ya Muyuni huko Makangale -Pemba 
 Mkurugenzi mkaazi wa Mamlaka ya Vitega Uchumi Pemba, Fadhila Hassan Abdalla, akifuatana na Watendaji wa Hoteli ya Muyuni , wakati akikaguwa mazingira ya Hoteli hiyo huko Makangale Pemba

Ujumbe kutoka Kamisheni ya Utalii na Mamlaka ya Vitega uchumi Pemba, wakiwa katika moja ya Chumba cha Hoteli hiyo ya Muyuni Pemba, ilioko makanagale. 

Eneo la Maandhari ya Hoteli ya Muyuni iliko Makangale Kisiwani Pemba. 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.