Habari za Punde

Michuano ya Kombe la Muungano Mchezo wa Netiboli Yaanza Zanzibar katika Uwanja wa Gmkhana Kati ya Mbeya City na Mafunzo ya Zanzibar Mafunzo Imeshinda mchezo huo kwa mabao 56 - 45.
 Mchezaji wa Timu ya Mafunzo Mainda (GA) akijiandaa kudaka mpira huku mlinzi wa Timu ya Mbeya City akiwa tayari kumzuiya.
 Wapenzi wa Mchezo wa mpira wa Netiboli Zanzibar wakifuatilia Michuano hiyo inayofanyika katika Uwanja wa Gymkhana Zanzibar.
 Wachezaji wa Mbeya City na Mafunzo wakiwa juu wakiwania mpira katika michuano ya Ligi Kuu ya Muungano inayoshiriki Timu kutoka Zanzibar na Tanzania Bara zinazofanyika katika uwanja wa Gymkhana. Timu ya Mafunzo ya Zanzibar imeshinda 56 - 45.
 Mchezaji wa Timu ya Mbeya City akijiandaa kufunga wakati wa mchezo wao na timu ya mafunzo ya Zanzibar.
Mchezaji wa Timu ya Mbeya City Madelina(GA) akijianaa kudaka mpira mlinzi wa Timu ya Mafunzi Siwa (GK)akijiandaa kumzuiya,  wakati wa mchezo wao na Timu ya Mafunzo ya Zanzibar katika michuano ya Ligi Kuu ya Muungano Mchezo wa Netiboli zinazofanyika katika uwanja wa Gymkhana Timu ya Mafunzo imeshinda 56 - 45. 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.